MADHABAHU INAYOLIPA GHARAMA NDIO INAYO TAWALA
MADHABAHU ni mahali popote ambapo nguvu za Mungu huakisiwa
MADHABAHU huunganisha ulimwengu wa mwili na wa roho
MADHABAHU ni mahali pa maagano pa kutolea sadaka
MADHABAHU ni sehemu ambayo nguvu huachiliwa
Kila mahali Kuna MADHABAHU nakila MADHABAHU ina Mungu wake na kila MADHABAHU ina sadaka yake
Kila MADHABAHU ina Muundo wake na kuhani wake
Mwanz 12:8_13:4-_3:13
Brania 12:9

Comments