TANZANIA {OFFICIAL MUSIC VIDEO}
Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa sana na MUNGU wetu alie hai ambae jina lake limetukuka sana katika miisho yote ya dunia hii.
Asante sana BWANA WETU YESU KRISTO kwa kufanikisha kazi hii kumalizika salama kwa video hii ya kwanza iliyopo ndani ya albam ya KANISA LA MUNGU chini ya ICB EMPIRE.
NIKURIBISHE kabisa kwa moyo mkunjufu kuitatama video hii toka kwa IBRAH CLASSIC NA ICB MUSIC karibu sana

Comments